Pages

TAARIFA KWA UMMA

   TAARIFA KWA UMMA
                     VYUO NA PROGRAM ZILIZOZULIWA KUDAHILI KWA MWAKA WA KWANZA   WA  MASOMO 2017/ 2018.

  • 1.0 Tume ya vyuo vikuu Tanzania (TCU) inapenda kuarifu umma kuwa mwezi septemba na oktoba mwaka  2016 ilifanya uhakiki wa vyuo vyote vya elimu ya juu nchini ili kuhakiki ubora wa elimu inayotolewa vyuoni.Ripoti ya uhakiki ilionesha mapungufu kadhaa katika baadhi ya vyuo. kwa sababu hiyo, Tume imesitisha udahili wa wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2017/2018 kwa vyuo vifuatavyo.
  1. Eckenforde Tanga University
  2. jomo kinyetta University, Arusha
  3. kenyatta univeristy, Arusha
  4. united Africa University of Tanzania
  5. international medical and technological University (MTU)
  6. University of Bagamoyo
  7. st.francis University college of Healthand allied scinces
  8. Archibishop james universitycollege
  9. Archibishop Mihayo University college
  10. Carginal Rugambwa memorial university college
  11. Kampala international university Dsm college
  12. Marian University college
  13. st.Johns University of Tanzania Msalato centre
  14. st. Johns university of Tanzania , marks centre
  15. st. Joseph University college of Engineering and Technology
  16. Teofilo kisanji University
  17. Teofilo Kisanji University Tabora centre
  18. Tumaini University, Mbeya centre
  19. Kilimanjaro Christian Medical University College (KCMCo)    
2.0 Aidha kutokana na mapungufu katika vyuo mbalimbali imeamriwa kwamba jumla ya program 75 kutoka vyuo 22 nchini zimsisitishwa kudahili wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2017/2018. kuona programu ambazo zimesitishwa kudahili wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2017/2018 tafadhali bonyeza hapa.

3.0 Aidha Tume inapenda kusisitiza kwamba , uamuzi huu hautawahusu wanafunzi wanaondelea na masomo katika programu na vyuo husika

imetolewa na:
Prof .Eleuther Mwageni
kaimu Katibu Mtendaji
24 julai 2017

No comments:

Post a Comment