Taarifa kwa madereva wote wanaoendesha vyombo vya vinavyotumia barabara yakuwa kwa kosa la kuendesha gari kwa mwendo uliopituka kisteria yaani kuover speed kwa sasa tozo yake ya adhabu (fine) itahusisha maeneo matatu tofauti kwa pamoja kwa kosa moja. Kwa kufanya kosa hilo itakulazimu kulipia kama ifuatavyo:
1. Traffic 30,00k
2. Sumatra 80,000
3. Tan road 90,000
Jumla like 200,000.
No comments:
Post a Comment