Pages

MFAHAMU BONDIA PEKEE ANYEIPEPERUSHA VEMA BENDERA YA TAIFA LA TANZANIA KWA KUJIICHUKULIA MKANDA WA WBA AFRICA NCHINI BOTSWANA.

Katika uwanja wa masumbwi kwa jina la zamani ndondi kwa Tanga, Tanzania, Africa na Dunia huwezi kuzungumzia yaani ya ngumi ukamuacha kumtaja Hassan Mwakinyo ambaye ameirudisha heshima na furaha y wakazi hasa wazawa wa mkoa wa Tanga kwa kupeleka ushindi Ngamiani akiwa amefanikiwa kumpiga mpinzani wake huko Botswana .


IFAHAMU TOZO YA ADHABU STAHIKI KWA KILA DEREVA ANAYEENDESHA CHOMBO CHA MOTO CHA KINACHOTUMIA BARABARA KWA KOSA LA MWENDO USIOSTAHILI KISHERIA.

Taarifa kwa madereva wote wanaoendesha vyombo vya vinavyotumia barabara yakuwa  kwa kosa la kuendesha gari kwa mwendo uliopituka kisteria yaani  kuover speed kwa sasa tozo yake ya adhabu (fine) itahusisha maeneo matatu   tofauti kwa pamoja kwa kosa moja. Kwa kufanya kosa hilo itakulazimu kulipia kama ifuatavyo:
1. Traffic 30,00k
2. Sumatra 80,000
3. Tan road 90,000
Jumla like 200,000.

KABILA LA HAMAR KUTOKA ETHIOPIA LIMEJIPAMBA KWA TABIA YA KIKATILI INAYOMRUHUSU MWANANAMKE KUOMBA KUPIGWA NA MUMEWE HADHARAN KWA ISHARA YA MAPENZI MAZITO YA MOYONI.

# Fahamu kabila la HAMAR , kutoka Ethiopia... Hii sio kanda maalum,ni Ethiopia pekee Mwanamke kuomba kuchapwa viboko kikatili kuonesha Upendo kwa mume wake.. 

......#hawa ni waethiopia wa kabila la Hamar,na hii ya kuchapwa kikatili inaitwa #UKULI BULA..!!
...#Ivi huku kwetu mwanamke anaoneshaje upendo kwa mume wake..nikumbusheni..



INTERNATIONA ISLAMIC RELIEF ORGANISATION

International islamic relief organization, wanakuletea huduma za kupima macho, kutoa miwani na operesheni ya macho. BURE